MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,050
Nikienda kununua ninahakikisha mr hayuko, maana cashier anakwambia laki tatu. Unaweza kuulizwa hela hii ni ya hili vumbi hili?
hahahahah ! hatari hii !tujipende tu kwakweli !
Nikienda kununua ninahakikisha mr hayuko, maana cashier anakwambia laki tatu. Unaweza kuulizwa hela hii ni ya hili vumbi hili?
Mnatuchanganya sana wanaume hatujui tupendi kipi kwenu, mara mchana kajeuka jlo mara usiku kajeuka fatuma,.... Make up ni upotoshaji usiofunguliwa mashtaka ya uchocheziCha ajabu wanaume mnaopinga make up, huwa mnakua na magoma yaliyopiga make up hadi yamekua kama zombi, goma limejikrimu hadi linaelekea kuwa la kijani
Dada naona jiw lagizani limempata jirani yangu.Cha ajabu wanaume mnaopinga make up, huwa mnakua na magoma yaliyopiga make up hadi yamekua kama zombi, goma limejikrimu hadi linaelekea kuwa la kijani
Hatuwanunuli vitu vinavyowabadilsha ni heri nikanunue roboti la kike sasa kuliko make up zenuwatuache na makeup zetu !hamtununulii shida ni nn !lol
Jiw lagizani lampata jirani yangu!!! Pole mkuu!!! Hahahahawatuache na makeup zetu !hamtununulii shida ni nn !lol
ahaha wala sio pole !tukipenda tutapaka tukichoka tunaacha km unavyoniona hv sipaki makeup kwa 2 mths !na nishazoea !pole wewe usomnunulia wife akapendeza !ngj aje anunuliwe !utaimba tenzi za rohoni kwa kinyakiJiw lagizani lampata jirani yangu!!! Pole mkuu!!! Hahahaha
hahaa nenda baba !nenda !Hatuwanunuli vitu vinavyowabadilsha ni heri nikanunue roboti la kike sasa kuliko make up zenu
Mkuu, ivi kuna mwanamke asiepaka makeup dunia ya sasaivi?ahaha wala sio pole !tukipenda tutapaka tukichoka tunaacha km unavyoniona hv sipaki makeup kwa 2 mths !na nishazoea !pole wewe usomnunulia wife akapendeza !ngj aje anunuliwe !utaimba tenzi za rohoni kwa kinyaki
wapo wengi mnooo !Mkuu, ivi kuna mwanamke asiepaka makeup dunia ya sasaivi?
Wakulima labda!!!w
wapo wengi mnooo !
Akinywa chai si jasho litatoka hivyo linaondoa ile mekapuDuu hii kwangu ni mpya mkuu
Hahaha nimekuelewaAkinywa chai si jasho litatoka hivyo linaondoa ile mekapu
Kwa hio mchana unapaka make up unapendeza usiku ukiitoa sura kama?ahaha wala sio pole !tukipenda tutapaka tukichoka tunaacha km unavyoniona hv sipaki makeup kwa 2 mths !na nishazoea !pole wewe usomnunulia wife akapendeza !ngj aje anunuliwe !utaimba tenzi za rohoni kwa kinyaki
Kwa hio mchana unapaka make up unapendeza usiku ukiitoa sura kama?
hahahahaha ! sijui kwann !yaan watu tumejawa hofuu wee khaa kisa mamen !lolNapendaga nyuzi ka hizi... Kila mtu atakuwa natural muda si mrefu!!!
Nyc....kwanini ufikirie kuwa na mvuto kwa kutumia vitu bandia?kesho mtu akufate muyajenge wakubali.....lakini baadae akikuona bila make up haamin na anayeya,je utamlaumu?Napendaga nyuzi ka hizi... Kila mtu atakuwa natural muda si mrefu!!!
HahahaSio kwamba mie mbaya bila make up ila siwezi kwenda ofisini bila hata kapowder usoni. Natural nimewaachiaga wanaume. Mi mtoto wa kike inabidi nipendeze. Ningekua napaka usiku nikilala sawa ila mtaani tu baasi nikirudi home nakua natural