Jiamini make up ya nini? jiachie na mwonekano wako ukiwa natural

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
54,217
2,000
Tukiwaga nae mchana tukipiga picha ye ndo anaetupiga hataki kutokea. . Saa zingine make up zinatudanganya tunajiona warembo ila tukishazitoa tunajiona uhalisia wetu.
Cha muhimu ni kujikubali tu. Ifike mahali mtu ukubali kwamba ndivyo ulivyoumbwa na ilishatokea kamwe huwezi kubadilisha ukweli
 

Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
36,276
2,000
Mnao tumia ukikutana na mimi nitakupa maji ya uvuguvugu unawe kisha mambo mengine ndio yatafuata.
Utaharibu sasa. Kuna watu wanapaka make up layer tatu. Yani hata asweat vipi anabakia vile vile. Mtu ukimpa maji anawe Make Up inaanguka sio kutoka
 

Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
36,276
2,000
Cha muhimu ni kujikubali tu. Ifike mahali mtu ukubali kwamba ndivyo ulivyoumbwa na ilishatokea kamwe huwezi kubadilisha ukweli
Powder tu kidogo si mbaya. Sasa mtu asubuhi anaenda ofisini anaweka foundation powder mara kontua akilamaliza hapo anapaka na wanja kwenye nyusi. Huyo ndo siku mkimuona bila make up mnaweza jua mgeni.
 

Gyole

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
6,919
2,000
Napaka baby poda tu na wanja, mekap sijui ila naitamani siku moja nijaribu
 

Jezebel

JF-Expert Member
May 7, 2016
222
500
Mkuu, ivi kuna mwanamke asiepaka makeup dunia ya sasaivi?
Tupo sana tu!!!
Make up ukiizoea sana unakua kama mtumwa....Kuna wakati nilikua so addicted.
Ila baadae nikaona it's too much nimeacha make up almost a year and it is so liberating living in my own skin.
Ngozi inapumua vizuri, ina afya na chunusi na alama zimepungua.
 

kayeke

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,581
2,000
Tupo sana tu!!!
Make up ukiizoea sana unakua kama mtumwa....Kuna wakati nilikua so addicted.
Ila baadae nikaona it's too much nimeacha make up almost a year and it is so liberating living in my own skin.
Ngozi inapumua vizuri, ina afya na chunusi na alama zimepungua.
Hongera yako mkuu.
 

Mrs Van

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
5,454
2,000
noun: makeup
cosmetics such as lipstick or powder applied to the face, used to enhance or alter the appearance.

Wacha tujipodoe zetu. Maana mtu unafikiri makeup ni mpk mafoundation manini kumbe mzungu anasema hata lipstick ni makeup
 

Culture Me

JF-Expert Member
May 24, 2017
9,660
2,000
Ila wanaume wa Jf!!!
Seriously mnajadili make up ya mwanamke.

I don mind as long as she is comfortable.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom