Jiamini make up ya nini? jiachie na mwonekano wako ukiwa natural

ahaha wala sio pole !tukipenda tutapaka tukichoka tunaacha km unavyoniona hv sipaki makeup kwa 2 mths !na nishazoea !pole wewe usomnunulia wife akapendeza !ngj aje anunuliwe !utaimba tenzi za rohoni kwa kinyaki
Mkuu, ivi kuna mwanamke asiepaka makeup dunia ya sasaivi?
 
ahaha wala sio pole !tukipenda tutapaka tukichoka tunaacha km unavyoniona hv sipaki makeup kwa 2 mths !na nishazoea !pole wewe usomnunulia wife akapendeza !ngj aje anunuliwe !utaimba tenzi za rohoni kwa kinyaki
Kwa hio mchana unapaka make up unapendeza usiku ukiitoa sura kama?
 
Pilipili ya shamba inakuwashiani?

Wengine wanaweka make up kwa sababu wanapenda sanaa ya kutumia make up na kuwa na muonekano tofauti tofauti, kama wanavyopenda kupika vyakula tofauti tofauti au kupaka marashi tofauti tofauti, kwanini unafikiri wanaotumia make up hawajiamini?
 
Sio kwamba mie mbaya bila make up ila siwezi kwenda ofisini bila hata kapowder usoni. Natural nimewaachiaga wanaume. Mi mtoto wa kike inabidi nipendeze. Ningekua napaka usiku nikilala sawa ila mtaani tu baasi nikirudi home nakua natural
 
Napendaga nyuzi ka hizi... Kila mtu atakuwa natural muda si mrefu!!!
Nyc....kwanini ufikirie kuwa na mvuto kwa kutumia vitu bandia?kesho mtu akufate muyajenge wakubali.....lakini baadae akikuona bila make up haamin na anayeya,je utamlaumu?
 
Sio kwamba mie mbaya bila make up ila siwezi kwenda ofisini bila hata kapowder usoni. Natural nimewaachiaga wanaume. Mi mtoto wa kike inabidi nipendeze. Ningekua napaka usiku nikilala sawa ila mtaani tu baasi nikirudi home nakua natural
Hahaha
Umeonaee... Walau ka Jonson powder
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom