Jiamini kijana Mtanzania utafanikiwa.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,944
Habari vijana wenzangu!
Naomba bila kupoteza muda niende kwenye dhumuni. Kijana uwapo ndani ya tanzania jivunie na uwe hodari ukijua kuwa uko ndani ya nchi yako na si kama illegagal migrant/muhamiaji haramu , kujiamini kwako ndiyo silaha yako kwani kıla mahali watu na viongozi hutafuta vijana imara na si wenye nidhamu ya uoga.
Umeingia ofisi ya mtu baada ya kugonga mlango au kuruhusiwa na sekretari unafika kwa bosi unaanza OOOOHHHH SAMAHANI BOSI, samahanı ya nini kijana huku umeruhusiwa kuingia?. Mara unaanza kuelezea shiida zako huku umesimama ilhali viti vipo ?, kama bosi mnoko si umuulize kwamba naweza kukalia hiki kiti? maana wengine hata kukukaribisha kiti wanaona kazi.
Unaloweza sema kwa ujasiri NAWEZA, na usiloweza kulifanya sema ukweli siwezi ila I can try .
Sura ya mashaka inapelekea wengi kuombwa rushwa hata kwenye haki zao.
Rushwa na fake appointments tunavitengeneza sisi wenyewe kwakutojiamini.
Love you all.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom