Jiamini, ipo siku utafanikiwa

Jiamini, ipo siku utafanikiwa

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,300
Reaction score
7,507
Jiamini tu ipo siku utafanikiwa, muamini sana Mungu atafungua milango yako ya mafanikio maisha hayana formula maalumu japo ya concept za umbananaji ndani yake.

Kuanza upya sio dhambi, dhambi ni kukata tamaa.

#Mgaza
 
Back
Top Bottom