Jiajiri mwenyewe

Jiajiri mwenyewe

Joined
Mar 14, 2014
Posts
90
Reaction score
6
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na utajifunza namna gani ya kuwekeza mtaji mdgo wa laki mbili na ndani ya miezi mitatu utaanza kupata 1.2MILLION KILA MWEZI.kila atakayefika kuna hela na vinywaji vitatolewa.kama utafika nijulishe ili jina lako liorodheshwe mapema.
kwa maelzo zaidi 0766789288 kwa booking mapema
 
Kuna pesa na vinywaji?nami nakuja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
jumamosi ni sabato takatifu,please muheshimu mungu kwa hili,usirudie kutoa matangazo na sabato takatifu tafadhali.
 
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na utajifunza namna gani ya kuwekeza mtaji mdgo wa laki mbili na ndani ya miezi mitatu utaanza kupata 1.2MILLION KILA MWEZI.kila atakayefika kuna hela na vinywaji vitatolewa.kama utafika nijulishe ili jina lako liorodheshwe mapema.
kwa maelzo zaidi 0766789288 kwa booking mapema

nmekusoma mkuu ila jaribu kuwa muwazi maana hayo maandishi nliyo bold in red kidogo nnamashaka usije ukawa unataka kupiga promo zile product za forever living au GNLD arafu ili kupata raia wengi unatuzuga eti atakayefika kuna hela
 
Kuna pesa na vinywaji?nami nakuja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hahahahaha nimecheka hadi machozi kunitoka nimekuhurumia ati unaenda kupata pesa na vinywaji! !

Ninachofahamu unalipia pesa kama 30,000 au 50,000 kuna nyingine ata zaidi ya laki 3.

Harafu ndio utapewa kinywaji ( maji) na utapewa hiyo elimu
 
Yani upewe elimu na venue imelipiwa then hela na maji bure? Ha ha haaaaaaaa not possible
 
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na utajifunza namna gani ya kuwekeza mtaji mdgo wa laki mbili na ndani ya miezi mitatu utaanza kupata 1.2MILLION KILA MWEZI.kila atakayefika kuna hela na vinywaji vitatolewa.kama utafika nijulishe ili jina lako liorodheshwe mapema.
kwa maelzo zaidi 0766789288 kwa booking mapema

Sintofika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom