Jiajiri kupitia hizo malighafi

Habari ya leo mkuu, naweza kupata number yako ? Nataka nikutumie mzigo tukubaliane kuhusu bei
 
Salaam chief, nimeleta mzigo wa matairi makubwa ya malori lakini watu wa mapokezi wametuambia hawachukui tena matairi makubwa au tukitaka tuwauzie kwa bei pungufu kuliko uliotutajia

Sent from my LG-D690 using JamiiForums mobile app
 
mkuu mshana tunaomba majibu ya hili,na mie nina mzigo wa matairi ya malori nataka nilete mzigo
 
Salaam chief, nimeleta mzigo wa matairi makubwa ya malori lakini watu wa mapokezi wametuambia hawachukui tena matairi makubwa au tukitaka tuwauzie kwa bei pungufu kuliko uliotutajia

Sent from my LG-D690 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kwasasa mzigo umejaa mno na usitishaji umetangazwa kwenye kundi la WhatsApp je hujajisajili humo?
 
Mzigo wa black carbon dust upo wa kutosha sana karibuni
 
Kumbe kuna UTAPELI hapa?
Afadhali nilisanuka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…