Jiajiri kupitia hizo malighafi

Msamehe bure mkuu. Sio wote wamewahi kupitia mitihani ya hii dunia hadi wakakosa njia ya kutokea na kutumia option yoyote mbele ya macho yao ili kusurvive.
 
Msamehe bure mkuu. Sio wote wamewahi kupitia mitihani ya hii dunia hadi wakakosa njia ya kutokea na kutumia option yoyote mbele ya macho yao ili kusurvive.
Ni kweli kabisa kaka ... Mungu ampe rehema ya kuwa na tafakuri kwa haya aliyonena
Hiyo million 2.8 anayoidharau , manunuzi na usafiri the most ni Kama 1.5 na ni kazi ya siku 10 tu hiyo ukiwa eneo lenye malighafi ya kutosha..faida ya 1.4 ni mshahara mkubwa kabisa wa mtu tena kwa mwezi
 
Ngoja tuwashtue ndugu,jamaa na marafiki wachangamkie hiyo fursa, ni fursa nzuri tu,aliyepitia Vita ya kutoboa ktk maisha 'from zero' kabisa anajua thamani ya kupata pesa hata Kama ni Mia moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…