Sina hamu na utanzania wangu Mimi nimecheka kichizifunguka zaidi mkuu, huku zenji yamejaa..ntaenda kung'oa hata kwenye viwanja vya mpira km pesa ni nzuri..
Ila wazee wa Biafra hamkosagi madili nyieee🙌🙌🙌🙌Ni kwa tani boss
Kweli wewe ni talent boy!funguka zaidi mkuu, huku zenji yamejaa..ntaenda kung'oa hata kwenye viwanja vya mpira km pesa ni nzuri..
Kaka nina shida sana na wewe nashindwa kukutumia ujumbe inbox[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mahali yapo mengi hawana pa kuyapeleka nitawatokea kesho mkuu Mshana JrJe una uwezo wa kupata tairi mbovu? Chakavu? Kubwa kwa ndogo?
Je unaweza kupata mipira ya matairi ama kamba zake?
Je unaweza kupata masalia yoyote ya tairi au hata chenga zitokanazo na kuchenjua tairi?
Je unaweza kupata soli mbovu za viatu?
Kiasi chochote kwa tani ...malipo si hapa..
Jiajiri kupitia hizo malighafi... Ni kama hizi hapa
Nicheki mimi tu settle terms!View attachment 1903231View attachment 1903232View attachment 1903234View attachment 1903233View attachment 1903235