Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Hapo hiyo relation haiwork jamani
oyaaa dogo C6 msome charminglady hapo na u do ze nidiful
heb come zis waye and we compare notes
Last edited by a moderator:
woøow.. Ndo ipi hiyo?
mbona mpaka sasa hujafika?
Hukohuko na mastaili yenu,sisi wapenda matipwatipwa tuachieni kifo cha mende....................
Kumbe Mitipwatipwa unayo!
Sasa ikawaje ukaugua ?
charminglady njoo fasta C6 a.k.a. mtotosix keshatoa go ahead:sleepy:mi ningeweza kumuexplainia lakini since Kaizer kaomba umuelekeze binafsi, sio mbaya. ila usizifute pm ntapita kuverify kama umemuelekeza vizuri charminglady
Atakwambia 3 oct 2012,
hyo style nzuri sanaa,ukiiweza utakuwa na ndoa madhubuti.
Mastaili ya enzi za ujana wetu, mke wa ujana wangu.haya mastyle ya kuvunjana viuno haya.......
sasa kwa style hiyo wadada kama hadija kopa unafanyaje kama siyo mateso bila chuki?