high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,941 Reaction score 2,183 Feb 16, 2013 #1 Kuna watu huwa wanatamani sana kulipia ili wawe JF premium member wahusika hebu tuelezeni tujue namna ya kulipia ushauri kama kuna thread inayoelezea swala hili mod awe anauweka kwa faida ya wana JF wapya wanaojiunga
Kuna watu huwa wanatamani sana kulipia ili wawe JF premium member wahusika hebu tuelezeni tujue namna ya kulipia ushauri kama kuna thread inayoelezea swala hili mod awe anauweka kwa faida ya wana JF wapya wanaojiunga