Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Natarajia kuwepo kisiwa cha marashi ya karafuu wiki ijayo.
Kwa JF Members mlioko kisiwani unguja, nitafurahi kama nitaweza kupata muda wa kukutana nanyi ili tufahamiane "nje ya mzimu wa pc".
Nategemea pia kuonja ladha ya urojo na mazaga zaga mengine ya kizanzibara!
Nawasilisha.