JF WATAHINIWA DODOMAa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF WATAHINIWA DODOMAa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Oct 15, 2011.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Wadau kama kuna yeyote aliyekuja Dodoma kutahiniwa tuwasiliane,
  Taratibu mji wenyewe ugenini huku.

  Please ni PM!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  komaa tu..utawapata
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mkuu mi nshageuza saa 1740hrs nilikua moro narudi dar.ungesema jana.ungemuona hadi figganigga.nilikua naye.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi niko ruvu sasa,,,,,,nilipofika msamvu mohamed trans likaniacha nimepanda abood nakaribia MLANDIZI
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mageuz vip pepa????ilikuaje+umat
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Jamani si kuna wakesho?
  Mupo wapi wadau!!!!!
  Karibuni chako ni chako, Mwanga bar, bila kusahau Maisha Club, Club Azizi jamani Kanga moko, ndembendembe, Laki si pesa, Milioni matumizi!
   
Loading...