Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,609 Dec 20, 2012 #1 Ndugu wana JF Photo, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka Mpya(Happy Holidays). Ukitaka kudownload, fuata hii link hapa chini: SHUSHA "JF WALLPAPERS" hapa:ranger: Kwa hisani ya watu8
Ndugu wana JF Photo, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka Mpya(Happy Holidays). Ukitaka kudownload, fuata hii link hapa chini: SHUSHA "JF WALLPAPERS" hapa:ranger: Kwa hisani ya watu8
M maweiwe Senior Member Joined Dec 6, 2012 Posts 167 Reaction score 45 Dec 20, 2012 #2 jamani hata hatuangalii akili zetu zishahamia xmass na newyear
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,609 Dec 20, 2012 Thread starter #3 maweiwe said: jamani hata hatuangalii akili zetu zishahamia xmass na newyear Click to expand... una maana gani ndugu?
maweiwe said: jamani hata hatuangalii akili zetu zishahamia xmass na newyear Click to expand... una maana gani ndugu?