Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,579 Dec 20, 2012 #1 Ndugu wana JF haswa jukwaa hili, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka Mpya(Happy Holidays). Ukitaka kudownload, fuata hii link hapa chini: SHUSHA "JF WALLPAPERS" hapa:ranger: Kwa hisani ya watu8
Ndugu wana JF haswa jukwaa hili, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka Mpya(Happy Holidays). Ukitaka kudownload, fuata hii link hapa chini: SHUSHA "JF WALLPAPERS" hapa:ranger: Kwa hisani ya watu8