Jf walio macho weka neno hapa

Jf walio macho weka neno hapa

Mi nimetingwa na stress hapa yani natamani kukuche haraka niende kanisani.
Na nimekaa kitako hata kujiegesha kitandani bado sanaaa.

Ndoo nimeona nije jf labda ntakutana na mambo yatakayonisogezea mda mbele[/QUOTE
Ohho pole sana
 
Sijajua nitalala saa ngapi ila kama hutajali karibu sana Club D shimoni Arusha
 
haya bhana mimi usingizi umepotea kwa kelele za watu huko ikabidi nifungue.jf
 
Kha! Na wewe kwani umacho?
Mtia mada umelala.
 
Back
Top Bottom