Jf walio macho weka neno hapa

Jf walio macho weka neno hapa

Mi nimetingwa na stress hapa yani natamani kukuche haraka niende kanisani.
Na nimekaa kitako hata kujiegesha kitandani bado sanaaa.

Ndoo nimeona nije jf labda ntakutana na mambo yatakayonisogezea mda mbele
 
Nimeoteshwa rais ajae kavaa gwanda nyeusi😕
 
Huyu ana nisumbua tuu hatak kunipa gem wadau njoon mumshaur
 
Back
Top Bottom