JF Voucher Game

JF Voucher Game

Sawa mkuu kuanzia jumanne game litakuwa saa 12 kamili jioni ili kuwapa nafasi wale waliopo kazini kesho itatolea update baada ya game la mchana.

Hiyo kamali mm nitakuwa nakula daily mamaeeee
 
Update

Leo tarehe 8/1/2018

Voucher VODA
Namba:56114051624190__!
Mshindi:___________!

Karibuni sana kwenye Game.

Note: kuanzia kesho Game litakuwa linachezwa saa kumi na mbili (18:00) kamili jioni hiyo ni kwa sababu likizo litakuwa limeisha na watu wengi watakuwa makazini muda wa mchana.
 
Mkuu nikushauri game tuifanye saa 2 au 3 usiku ili wale tunaokuwa na pilika pilika za usafiri tupate fursa pia.

Halafu naomba vocha za Jumanne -
Jumapili nizidhamini.
 
Back
Top Bottom