uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,674
- 20,443
- Thread starter
- #61
na nzuna miss neddy wala hana tatizo na hilo...
nzuna alizimia ujue..
Last edited by a moderator:
na nzuna miss neddy wala hana tatizo na hilo...
labda uniambie kama kupanda daladala sio kufilisika..ntakuelewa!
Lady doctor nina wasiwasi na member mmoja anajiita Filipo. Cc: Arushaone
Na sasa yupo studio akifanya remix wimbo wa NAKOMAA NA JIJI wa msanii Shilole.
I think unanifananisha na Money Stunna Cc: shem badiebey
Ushajibiwa... thanks mai waifu mwallu. #SINAGA-MICHEPUKO
I think the real culprit is Munkari. Meanwhile Vin Diesel yu safarini kuelekea Arusha, kuziba pengo lililoachwa (talk of #fursa )
Huyu pia inasemekana alikuwa anapeleka posa kwa wachumba wawili kwa mpigo.
Nicas Mtei...kana mimba hii nikuumbue.
Senkyu...!!!
ngoja uwekewe ushaidi wa picha..
nzuna alizimia ujue..
mwallu, punguza pressure..