Uk. 2
6.
Mtoto wa nje ya ndoa wa Lady doctor azua tafrani katika familia ya Arushaone, ugomvi wafika ukweni, yadaiwa hakuwahi kusema kuwa ana mtoto. Yasemekana mtoto anafanana na kingkongiii kila kitu.. Yadaiwa hata mimba aliyosema anayo Lady doctor ni uzushi mtupu.. nyumbani hapapikiki, hapaliki, hapakaliki na wala hapalaliki...
7. Masogange atoa ya moyoni , ni kuhusu "sembe" alilodakwa nalo,
Erickb52 kikaangoni, adaiwa kuonekana akimsindikiza JNIA , Nzowa athibitisha..
8. Picha tata za
Chocs na
mpigamsuli zavuja, ni zile walizopiga wakiwa "robotatu uchi", wao wadai walikuwa katika maongezi ya kawaida.... ulegevu wa macho ya
Chocs katika picha waongeza hisia hasi....
9.Sababu ya
Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta
Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru.
Bujibuji na
Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..
.... Itaendelea...