JF UDAKU October Edition...Reloaded..

Mwekundu hatimae aopoa .....kimwana JF waonekana maeneo ya Seaclif more updates to come.!!
 
Uenyekiti wa Baba V waingia doa,kisa na mkasa usiku wa kuamkia leo akutwa ameanguka kwenye mtaro wa maji machafu kalewa mpaka hajielewi,watu washindwa kumtambua.
Je wajua kisa na mkasa?...(Uk.2)

Mie muda huo nilikuwa CCP (Chit chat publishers naandaa gazeti, aliyeokotwa amelewa ni Erickb52 na mwenzie Arushaone na ushahidi wa picha upo....
 
Last edited by a moderator:
Baba V huu udaku utakutokea matundu yote ya puani!
 
Last edited by a moderator:



Ingawa umejitahidi sana, sherehe za kukuaga ulipostaafishwa zinakaribia. Stay tunned!😛lane:
 
Ingawa umejitahidi sana, sherehe za kukuaga ulipostaafishwa zinakaribia. Stay tunned!😛lane:

Wasiwasi wangu ni kuwa kwa upande wako hata sherehe isiwepo,pia angalia unaweza ukadhani unapanga sherehe kumbe ni msiba, uliza wenzio kwa nini wana sitasita. Beware
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…