JF UDAKU October Edition...Reloaded..

JF UDAKU October Edition...Reloaded..

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,546
Ni toleo jingine la JF UDAKU mwezi wa kumi likiwa limesheheni habari motomoto, Kwa hisani ya TANMO , Bishanga na Elizabeth Dominic natiririka kama ifuatavyo...

1.Sakata la madawa ya kulevya lachukua sura mpya.. Wasiotarajiwa watajwa kuwa ndio vinara. Arushaone ashikiliwa na vijana wa Nzowa, ahojiwa kwa masaa nane..Mengi yagundulika, sasa kupelekwa China akajibu mashtaka baada ya kubainika kuwa vijana watatu waliokamatwa huko kwa nyakati tofauti walitumwa naye, mmoja atajwa kwa jina la Chimbuvu , yasemekana ndio kisa cha kupotea jukwaani kwa.muda mrefu.
2.Mchakato wa kumpata Raisi mpya wa chit chat kuanza hivi karibuni, Ni baada ya wadau kutoridhishwa na mwenendo wa Arushaone, Kashfa zake zaibuka, barua zake za mapenzi kwa Mamndenyi zadakwa, alipoulizwa alijaribu kukana alipobanwa akasema ni shetani alimpitia, aomba habari zisifike kwa Lady doctor.
3. Kisa cha Excellent kupotea jukwaani kwa muda hapo nyuma kabla ya kuibuka hivi karibuni chatajwa, U punda wa sembe watajwa, yadaiwa aliponea chupuchupu kunyongwa China. Vin Diesel na Erickb52 watahadharishwa.

4. Mapya yaibuka kipigo cha mzee Mtambuzi pale Mama Kamche pub, Mpishi wa kitimoto asimulia kisa chote, asema mjeshi alikuwa amedhamiria kumpoteza, adai kushangazwa na kasi aliyotoka nayo Mtambuzi baada ya kupata upenyo, amfananisha na mkimbiaji Mjamaica Usain Bolt.

5.Nyota ya mrembo Heaven on earth yang'ara ghafla, aonekana akifanya makubaliano ya kimkataba na Oprah Winfrey, Kilichozungumzwa bado siri. figganigga alonga, ataja kuhamia D.C

.............. Itaendelea.........
 
Last edited by a moderator:
Udaku wa leo naona kama utakuletea kasheshe;
Wengi waliotajwa humo ndani ni wahusika halisi;
Naona jinsi watakavyotumia hizo pesa zao
za sembe kukumaliza;

Ngoja waje hapa waseme.
 
Udaku wa leo naona kama utakuletea kasheshe;
Wengi waliotajwa humo ndani ni wahusika halisi;
Naona jinsi watakavyotumia hizo pesa zao
za sembe kukumaliza;

Ngoja waje hapa waseme.

Nimeamua kama mbwai iwe mbwai tu, sie waandishi wa Udaku wa kiuchunguzi tuko tayari kwa lolote kwa maslahi ya umma.
 
4: Baba V kuvuliwa uenyekiti wa maisha!
hii ni kutokana na kugundulika kumbe ni mfadhili wa m 23,na hana mke humu!
Polisi ben ametumwa kufanya upelelezi.
 
Last edited by a moderator:
4: Baba V kuvuliwa uenyekiti wa maisha!
hii ni kutokana na kugundulika kumbe ni mfadhili wa m 23,na hana mke humu!
Polisi ben ametumwa kufanya upelelezi.

Hahaaaaa .... wawajua em twente thrii wewe..!? eti sina mke humu, Mama v ni mkeo!?? na hakuna mwenye ubavu wala uhalali wa kunivua madaraka,hii ni kwa mujibu wa katiba iliyoniweka madarakani..
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa .... wawajua em twente thrii wewe..!? eti sina mke humu, Mama v ni mkeo!?? na hakuna mwenye ubavu wala uhalali wa kunivua madaraka,hii ni kwa mujibu wa katiba iliyoniweka madarakani..

Mama v bado ownership yake ni questionable,
hyo katiba ummu kulthum na the former Eliah g kamwela wali campaign abolition yake na hoja iliafikiwa!
 
Last edited by a moderator:
eh! kweli hili leo balaa, nasubiri awamu ya pili...
 
Chocs nilitoa oda ya tindikali gudulia mbili ongezea zingine gudulia 3 kuna mtu naona anataka kuyaona maisha katika mwanga bora
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa Baba V umenichekesha lol.......

huo udaku ni wa kweli siku si nyingi nitaweka mambo hadharani
 
Last edited by a moderator:
Uenyekiti wa Baba V waingia doa,kisa na mkasa usiku wa kuamkia leo akutwa ameanguka kwenye mtaro wa maji machafu kalewa mpaka hajielewi,watu washindwa kumtambua.
Je wajua kisa na mkasa?...(Uk.2)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom