JF tunaishauri iongeze Jukwaa la Developer, computer Programmer & Artificial Intelligence

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,725
Reaction score
2,411
Habarini wakuu,
Kungekuwa sub-jukwaa ya Tech, Gadgets and science inayohusika na mambo ya practice ya developer, programming and AI.

Maana kwa sasa imekuwa shida kweli kupata & kuweka madini... yaaani mtu akikwama, akiingia humo atapata madini kama vile stackflow, GitLab nk.

Napenda watanzania tufike mbali ktk masuala ya tech.

Hili jukwaa la sasa libaki kama lilivyo kwaajiri ya watu
1. Kulinganisha simu
2. Hardware issue
3. Nk.

Mbona kuna jukwaa la JF doctor??
Programming nayo ikumbukwe... tusiichanganye na thread ntingine.

Nawasilisha mada.

Max Mele & Mods mtupe mrejesho wakuu.
 
ukisema ivyo na sisi wa electrical engineering tutataka jukwaa letu, civil eng. nao wawe na jukwaa lao, mwisho wa siku majukwaa yanakua doro
 
[emoji38][emoji38][emoji38].... namaanisha kuwa na solving some problems kama ulivyo stackflow, sawa chief?
ukisema ivyo na sisi wa electrical engineering tutataka jukwaa letu, civil eng. nao wawe na jukwaa lao, mwisho wa siku majukwaa yanakua doro
 
[emoji38][emoji38][emoji38].... namaanisha kuwa na solving some problems kama ulivyo stackflow, sawa chief?
ni kweli ulisemalo ila kibongo bado mno, kila mtu atataka jukwaa lake, maana wewe sio wa kwanza, kuna mdau alitaka kuwe na sub forum ya mechanical eng.
utitiri wa sub forums wakati hakuna wadau/ wachangiaji hua haina maana
 

Hapa huwezi kupata hayo majukwaa, karibu hapa kama upo serious




Mfano wa real-life solutions https://bit.ly/2VT0bTP
 
Asante chief
 
Cries tha falls on the deaf and blind

 
Programming na software engineering kwa sasa ina field kubwa sana hapa bongo vilevile challenges zipo nyingi ambazo coders wanaziface hivyo kungekuwa na forum yao ingefaa sana kwa ajili ya kusolve various problems ambazo zinawaface. Hivyo naunga mkono hoja
 
Siungi mkono hoja. hili jukwaa linatosha 100% labda tu kuwe na special threads ziwe sticky basi.
 
hiyo itakua ngumu sema nini kuwe tu na special thread moja kama ile ya wazee wa kubeti na kuweka mzigo kidogo itasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…