JF top gear

JF top gear

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
Awali ya yote naomba kuwasilisha ombi kwa moderator wa jamvi hili tuwekewe ki-sub forum kinachohusu masuala ya magari,pikipiki,meli,ndege,train na kadhalika.Natamani tuwe na forum hii ili tuweze kujuzana maujanja mbali mbali kuhusu vitu tajwa hapo juu,tujuzane na kupeane ushauri kuhusu masuala ya ufundi,tushauriane ni gari,piki piki n.k ipi inayotamba au kumfaa mtu kutokana na mazingira yake,kipato chake na kazi zake pia.

Pia sio mbaya tukawa tunafanya head-to-head battle za magari mbali mbali kwa mfano;SUBARU IMPREZZA VERSUS VOLKSIWAGON GOLF R,tuongelee bei,fuel economy/fuel consumption,top speed,acceleration,durability,comfort,ukubwa wa engine,horse power na kadhalika.Pia hapa yafaa tujuzane kuhusu matoleo mapya yaliyoingia sokoni na yale tarajiwa.Halafu pia tunaweza kupambanisha kiwanda kimoja dhidi ya kingine kwa mfano YUTONG VS ZHONGTONG.
Kwa kuanzia tu,naomba mtu anisaidie kunipa ufafanuzi wa vitu vifuatavyo katika specifications za magari>>>>>>>>
(1)HORSE POWER
(2)CC
(3)Mtu anaposema engine hii ni 2.0 L engine ana maana gani.
Akhsanteni kwa kunitoa ushamba.
 
So you mean like another Tech, Gadget & Science Forum?
 
Yeah, jukwaa linalohusu Engines, wow, me like that
 
Sawa wakuu
Maombi yenu yanafanyiwa kazi.
Mtapatiwa haraka iwezekanavyo kwa sababu haihusiani na CCM wala CDM.
Na tutajitahidi tuwape haraka ili msitupigie fujo za siasa za maji taka na maji nnya.
Consider it "Granted"
Keep it locked here
 
mkuu pamoja sana watakuwa wametusaidia sana ss mafundi au tunao dili au wenye fani ya hizo ishu kama ss wamagari huwa tukiandika au anzisha thread hum kiukweli huwa inadoda sana zaidi zaidi watu watakuwekea coment ya kucopy na kupest kutoka google.
naunga mkono hoja asilimia 800 maana hum kukicha compyuter mara sim mara sijui nn? na ss mafundi magari tuanzishiwe jukwaa letu tunaomba sana.
now magari yamekuwa kidigital zaidi.
tunaomba wahusika mtusikilize kilio chetu
 
Suggestion yangu ya title nilitaka iitwe JF TOP GEAR kama ilivyo heading ya thread ilivyo.Mimi sio fundi bali ni mtu ambae niko interested sana na masuala ya magari.
cc:C6.Ombi langu ni kiji sub-forum kama ilivyo love connect ndani ya MMU.
 
mimi ningeshauli iitwe AUTOMOTIVE
 
Awali ya yote naomba kuwasilisha ombi kwa moderator wa jamvi hili tuwekewe ki-sub forum kinachohusu masuala ya magari,pikipiki,meli,ndege,train na kadhalika.Natamani tuwe na forum hii ili tuweze kujuzana maujanja mbali mbali kuhusu vitu tajwa hapo juu,tujuzane na kupeane ushauri kuhusu masuala ya ufundi,tushauriane ni gari,piki piki n.k ipi inayotamba au kumfaa mtu kutokana na mazingira yake,kipato chake na kazi zake pia.
Pia sio mbaya tukawa tunafanya head-to-head battle za magari mbali mbali kwa mfano;SUBARU IMPREZZA VERSUS VOLKSIWAGON GOLF R,tuongelee bei,fuel economy/fuel consumption,top speed,acceleration,durability,comfort,ukubwa wa engine,horse power na kadhalika.Pia hapa yafaa tujuzane kuhusu matoleo mapya yaliyoingia sokoni na yale tarajiwa.Halafu pia tunaweza kupambanisha kiwanda kimoja dhidi ya kingine kwa mfano YUTONG VS ZHONGTONG.
Kwa kuanzia tu,naomba mtu anisaidie kunipa ufafanuzi wa vitu vifuatavyo katika specifications za magari>>>>>>>>
(1)HORSE POWER
(2)CC
(3)Mtu anaposema engine hii ni 2.0 L engine ana maana gani.
Akhsanteni kwa kunitoa ushamba.

Wazo zuri mkuu, ila nadhani itakuwa vyema kama mkianza kwanza kuanzisha thread mbali mbali zinazotoa elimu kuhusiana na maswala mbali mbali ya magari ili tuone ushiriki wa watu ukoje katika sekta hiyo maana msije mkaanzisha kitu halafu kikaja kutoweka endapo nyie waanzilishi mtatoweka. Lakini pia hii itasaidia kuushawishi uongozi wa JF kuweka ki sub forum hicho endapo wadau wengi wanaopenda mambo hayo watajitokeza kwa wingi.
CC: Invisible, Maxence Melo.
 
Nina kiswali cha kizushi hapa,eti ukiwa barabarani na gari yako na unahitaji kurudi reverse, je unatakiwa kurudi kwa kutumia site yako au itakubidi uhamie site ya wale wanaokuja mbele yako ndo urudi reverse?
Hili Swali nimewauliza madereva wengi lakini napewa majibu mkanganyiko.
 
Hilo jukwaa bado halijaanzishwa? Au mods hawana mpango na maoni yetu?
 
Nina kiswali cha kizushi hapa,eti ukiwa barabarani na gari yako na unahitaji kurudi reverse, je unatakiwa kurudi kwa kutumia site yako au itakubidi uhamie site ya wale wanaokuja mbele yako ndo urudi reverse?
Hili Swali nimewauliza madereva wengi lakini napewa majibu mkanganyiko.

Inabidi uhamie upande wa wale wanaokuja ni sheria ya kimataifa hila wengi wetu huwa tunaipuuza sana
 
je kama hawapendi magari utajuaje..

Kama hawapendi watuwekee sisi tunaopenda. Nimeona una JF Gold member, do us a favour ujaribu kuongea na mods labda anaweza kulishughulikia kwa haraka kupitia wewe.
 
Inabidi uhamie upande wa wale wanaokuja ni sheria ya kimataifa hila wengi wetu huwa tunaipuuza sana
Shukrani mkuu kwa mchango wako,hii kitu niliambiwa na dereva wangu kazini nilimbishia sana but now i concur with him!
 
Back
Top Bottom