JF Today's birthdays: September 11

Happy birthday rafiki .
Hii siku wakati unazaliwa kuna mlipuko ukitokea huko Dar watu walikufa sana rafiki yaani siku ile nakumbuka nilikuwa keko ya magurumbasi kwao na Devi bonge tunakunywa juisi ya embe na miguu ya kuku .

Ndiyo nikasikia hayo itoshe kusema mliozaliwa tarehe ya leo najikuta nawaogopa tu bila sababu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom