ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Nilikuwa sijui hiiLeo niwape facts unayoijua kuhusu ngoma NO WOMAN NO CRY ya BOB MARLEY. Kwanza naomba tujue, Jina halisi la hii ngoma ni: NO WOMAN, NUH CRY! Jamaica neno NUH linamaanisha DON'T! Hivo Maana halisi ya hii ngoma ilikuwa: NO, WOMAN, DON'T CRY! Hapa BOB alikuwa anamhakikishia Mpenzi wk kuwa Maisha yale magumu wanayoishi uswazi (Trench Town) yatapita tu, na kwamba .."Everything will be alright and don't shed no tear".
Bob anaposema: "Government Yard in Trench Town" anazungumzia NYUMBA ZA USWAZI ZA SERIKALI walizojengewa watu Maskini kwayo Bob aliishi. Mfano wa project km hizi ni kama zile zilizokuwa MAGOMENI QUARTERS au MSIMBAZI QUARTERS!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ndio mana hapo juu amesema only in rare occasions[emoji848] 50% yes 50% no, you can chose money over love hala you end up unhappy for the rest of your life, money does not work all the time
Got itNdio mana hapo juu amesema only in rare occasions
Hapo sasa[emoji23]It is ompossible to remain angry at someone you trully love, anger lasting for more than 3days indicates that you are not in love...wale wanaonuniana mwezi mzima sijui tuwaiteje
We umejuje? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Chukua hii kutoka kwangu. Paka na Mbwa wana uwezo wa kumtambua Mwanamje aliye ktk Menstruation!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mimi MBWAWe umejuje? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilisahau
kweli kabisaUsiogope kuwa tofauti na wengine bali ogopa kuwa sawa na kila mtu. Mafanikio hayaji kwa kufanya kile kile wanachofanya wengine.
Dolly Parton : let her get credit, i will keep the cashHalafu Version ya "I will always love you" ya Dolly patron ina ladha tofauti na ll versions of the same song, i can say is the best of all