jf special day!

huu utani wa tindikali

nina vibuzi lukuki
mme mwenyewe ana small hausi hazina idadi

ya nini kujitaftia mpresha ya bure saa hii?
Tukianza kuumwa tutapima lol

tena unikome kabisa.

We konnie,niko hapa Angaza nakusubirini we na NN,mbona siwaoni,na nesi bi salama keshaandaa sindano.
 
wee nae Rejao pesa umepata wapi?

Ulishindwa kuninunulia matiti ya kuku pale kwa Edo utaweza umemba wa jf?

Kwanza naskia unalishwa na Cantalisia.

heeee....mi ndio pede mwenyewe, we chagua unataka kuwa Gold, Diamond, Silver au Tanzanite, mi nakamilisha kila kitu kwa Invisible!
Lakini ni lazima kwanza nipate ruhusa toka kwa Bishanga na mke wangu Cantalisia
 
Last edited by a moderator:
huu utani wa tindikali

nina vibuzi lukuki
mme mwenyewe ana small hausi hazina idadi

ya nini kujitaftia mpresha ya bure saa hii?
Tukianza kuumwa tutapima lol

tena unikome kabisa.
Mashairi meeeeeeeengi,umeamkaje lakini best?
 
Yummy baki nae tu maana sio wangu ila sasa ni wako.

Bishanga shikamoo!!
Marhaba dear. Za arusha?
Ps: Lizzy namalizia kusoma nyota kwenye gazeti,nyota yako inasema leo utakutana na mtu ana upara,mwepuke,atakuondolea bahati.
 
Last edited by a moderator:
We konnie,niko hapa Angaza nakusubirini we na NN,mbona siwaoni,na nesi bi salama keshaandaa sindano.
Bishanga vuta subira naona Konnie kashawasili hapa ila Nyani Ngabu hajatia timu bado(sasa sijui ndio muathirika mwenyewe)sio maneno yangu hayo ni Bishanga huyo kantuma!
 
Last edited by a moderator:
Mie bado natafuta sijampata kwa sasa mlango umefungwa mkimaliza kugawana mnambie kina nani wamebakia nifanye Chagulaga:redface:
 
Nasikia wewe ndo unalipia vibinti pesa ya premium kwa invisible!!
Hebu lipia basi na mimi nijidai kodogo.
Ukitaka firigisi nitakupa ya mdogo wangu, mimi ni mama yako huniwezi.

hahaa E wa T, naona umembana sana Rejao hapo akishindwa kukulipia kwa Invisible ili uwe Premium kama yeye mimi nitalipa halafu utanipa hiyo firigisi ya mdogo wako...
 
Last edited by a moderator:
Asprin chokest,ujanani alitumika mpaka aka ex paya.Niniliyu yake inapumulia mashine kama jamaa flan (simtaji anatembea na gobole la mchina,'i will kill you' ndo signature yake jf)
Hahaha haha hahah, Bishanga mie sipo lol!
Babu Asprin akisoma hapo sijui kitakachotokea labda iwe ni kweli hahahah,hahah!
 
Last edited by a moderator:
heeee....mi ndio pede mwenyewe, we chagua unataka kuwa Gold, Diamond, Silver au Tanzanite, mi nakamilisha kila kitu kwa Invisible!
Lakini ni lazima kwanza nipate ruhusa toka kwa Bishanga na mke wangu Cantalisia
Rejao swtie,mie wala sina neno,wee mlipie tu,
Asa km mwenyewe anataka kulipiwa mie ntakuzibiaje bahati mme wangu!!!
Km vp mlipie tu ili mradi masharti na vigezo kuzingatiwa,hahah hahha haha!
 
Last edited by a moderator:
Marhaba dear. Za arusha?
Ps: Lizzy namalizia kusoma nyota kwenye gazeti,nyota yako inasema leo utakutana na mtu ana upara,mwepuke,atakuondolea bahati.

Bishanga tafadhali tafadhali. . .
Usije ukanipepereshua kipepeo changu. Alafu mwenye kipara nikutane nae mara ngapi? Hapa nafikiria kumsindikiza saluni baadae akapendezeshe kipara chake.

Yummy ulibebeshwa au ulijibebesha?
 
Last edited by a moderator:
We rejao naona hujipendi,nipe namba ya canta binti mtambuzi.
Bishanga ushaliwa tayari lol!
Inamaana umefulia kiasi hicho!haya sasa ndio keshaomba kulipiwa na mie wala simzibii mme wangu Rejao bahati nishamruhusu amlipiee tu hahah,ahaha,

Nahisi kale ka wimbo ka Nyani Ngabu kaaply lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…