Mkuu, uko makini sana na ahadi zako kuhusu muda. Uliomba masaa mawili ukachukua chini ya hapo. Kazi njema. Tutajitahidi kuendelea kuwasapoti kwa hali na mali.
Hayo ndiyo mambo 🙂. Siyo zile upgrade za mwaka 47 ambazo JF ilikuwa haipatikani wakati mwingine zaidi ya siku moja na kutuacha akina sie tuliokuwa addicted na JF tumechanganyikiwa. Hongera kwa hilo.
Sawa, tutalifanyia kazi... Hata hivyo upgrade ya jana ilikuwa ni mahsusi kwa ajili ya hii kitu. Itawalazimisha wote waliokuwa na weak passwords kubadilisha haraka iwezekanavyo. Ukiona inakupa ujumbe huo basi fanya kukubali kubadilisha password kabla ya kuendelea na jambo jingine.
Keep it up mkuu kwa upgrade, tena faster than planned!!! Si eti mambo ya mara kuunda tume ya na ambayoo itakuwa inatoa excuses kwa kuto meet deadline. Kama zile za awamu ya nne. Bravo man!!!
Shukran mkuu kwa kuweka maswala safi.For a minute, yesterday I thought
my mtandao needed 'wese' kumbe ni mambo na ku-upgrade...Kudos and
keep up the good work!!!