JF Site Upgrade

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
This' an announcement regarding system upgrade. It's a MUST and we have to do it for security purposes.

We request for 1-2hrs of service.

Your patience is needed during this short period
 
no pb mkuu........wee endelea tu.........security ni muhimu
 
Ahsanteni,

Imechukua muda wa dakika 90.

Tunashukuru kwa uvumilivu

Mkuu, uko makini sana na ahadi zako kuhusu muda. Uliomba masaa mawili ukachukua chini ya hapo. Kazi njema. Tutajitahidi kuendelea kuwasapoti kwa hali na mali.
 
Ahsanteni,

Imechukua muda wa dakika 90.

Tunashukuru kwa uvumilivu

Hayo ndiyo mambo :). Siyo zile upgrade za mwaka 47 ambazo JF ilikuwa haipatikani wakati mwingine zaidi ya siku moja na kutuacha akina sie tuliokuwa addicted na JF tumechanganyikiwa. Hongera kwa hilo.
 
Invisible kwanza hongera kwa kazi,

kuna uwezekano wa kutumia https at least wakati wa login/authentication process ili kulinda password zetu...?
 
Invisible kwanza hongera kwa kazi,

kuna uwezekano wa kutumia https at least wakati wa login/authentication process ili kulinda password zetu...?
Oh,

Sawa, tutalifanyia kazi... Hata hivyo upgrade ya jana ilikuwa ni mahsusi kwa ajili ya hii kitu. Itawalazimisha wote waliokuwa na weak passwords kubadilisha haraka iwezekanavyo. Ukiona inakupa ujumbe huo basi fanya kukubali kubadilisha password kabla ya kuendelea na jambo jingine.

Thanks
 
Ahsanteni,

Imechukua muda wa dakika 90.

Tunashukuru kwa uvumilivu
Keep it up mkuu kwa upgrade, tena faster than planned!!! Si eti mambo ya mara kuunda tume ya na ambayoo itakuwa inatoa excuses kwa kuto meet deadline. Kama zile za awamu ya nne. Bravo man!!!
 
This' an announcement regarding system upgrade. It's a MUST and we have to do it for security purposes.

We request for 1-2hrs of service.

Your patience is needed during this short period

Shukran mkuu kwa kuweka maswala safi.For a minute, yesterday I thought
my mtandao needed 'wese' kumbe ni mambo na ku-upgrade...Kudos and
keep up the good work!!!
 
Back
Top Bottom