hivi inamaana humu JF hamna hatu ka kundi kadogo tu ka watu( hata watu wawili hivi) ambao wanafahamiana kabisa(kwa maana walishawahi kukutana hivi) na kujuijua kuwa wote ni JF membaz?
mi pia naogopa.
Waogopa nini?
siamini...kwenye jukwaa la Science and tech watu huwa wanakumbwa na matatizo hadi hutoa namba zao za simu au mawasiliano mengine na kupanga miadi ya kuonana ili kufanya biashara!!!sidhani kama wapo.
labda hii ndo sababu watu wanakuwa wakali sana...haaahahaaa..!!Naona wengine watashindwa kupata vibali kutoka kwa wenza wao bac wameamua kuweka vikwazo kedekede
Hata mimi naogopa.
labda siku hiyo watu inabidi wavae vitambaa usoni (kama maninja) ili kuficha sura zao na kubandika majina ya ID zao za JF kwenye nguo....lol!Ndio maana mchango wako unahitajika ili ikae vema. Any positive thoughts?
Wapo wengi sana, mi mmojawapohivi inamaana humu JF hamna hatu ka kundi kadogo tu ka watu( hata watu wawili hivi) ambao wanafahamiana kabisa(kwa maana walishawahi kukutana hivi) na kujuijua kuwa wote ni JF membaz?