Tanzania kuna hazina kubwa sana ya watu na pia huwa nashikwa na ganzi katika kujua ni kwanini taifa bado lipo hapa lilipo maana wanatoa michango mkubwa sana ila hakuna wa kuthamini ila ni siasa tu
Ni siku nyingi sana zimepita tangu niandike na sikujua kama uliikosoa post yangu hiyo. Hata hivyo ungesoma kwa makini kabla ya kukosoa ungejua kuwa nilisema kuwa mtu aliyekuwa akiongelewa hataki publicity. Ni ustaarabu kuacha kupublicize habari za mtu asiyekuwa na hatia yoyote iwapo yeye mwenyewe hataki publicity hiyo. Angekuwa na hatia fulani anatafutwa na serikali ndipo tungeweza kutaja personal information zake hata kama yeye mwenyewe hataki.