hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Sio wote bwana..... mbona kuna wanawake wengine pia wana vituko kibao..ubaya hauna jinsia
Wanaume wabaya nyie
Wanaume wabaya nyie
Wanaume wabaya nyie
Hivi upo duniani mama?Ukimya sio mzurii
HayaNiko hapaaa....(in kirikou's Voice)
what else can i say?Nataka kuona udhaifu wako.
Hivi upo duniani mama?
Hapa wale wakupenda miandiko watatusaidia inaweza kutokea ukapenda wenye miandiko na upangiliaji wa maneno zaidi ya mmoja
Nikija itakua Bili ya nani?Haya
Njoo Kili home
Unakuta hamjawai ata kuchati Pm, ila basi tu unahisi kuna kitu kati yenu
hiki kikombe kinipite.AmeenHii unayoiongelea bibie hajaolewa?
Tabia yako mbaya, umefanya nicheke kwa nguvu na vicomment vyako.
Kwa ubuyu wewe😄😄😄Naombeni samari pm please