JF Relationships: Watu wanawezaje kumpenda mtu ambaye hujamuona?

Unaweza kuwaelewa wanaokuwa na urafiki na id's humu!?.kama mtu kwa maandishi yake anaonekana yuko interested na jambo Fulani kisha akatokea mtu akawa anapenda hizo vitu pia hapo kuna chance ya kuwa na urafiki,na kama ilivyo ada urafiki huweza zalisha mambo mengine.
Ama mwingine huenda anapenda me/ke mwenye tabia fulani na muda mwingine maandishi yake huweza muonesha yeye ni kiumbe wa aina gani,basi unakuta tu automatically someone out there anapata alichokuwa anakitafuta.
Mi bado nasubiri mwenye huruma zake aje Pm maana kueleweka kwa comments bado sana Lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom