JF Relationships: Watu wanawezaje kumpenda mtu ambaye hujamuona?

Lol" hapana hiyo ya kwangu mimi 'Jamaa ndiye alikuwa na mpango wa kando akambwaga bibie..Ghafla yale mahaba ya Jf yakawa zzzzzzzzz!!!!! (kimya) then jamaa aka change na Id... so sad- so kama kuna mtu mwingine ambaye wewe unamjua aliyepitia katika hali kama hiyo....basi ama kweli humu kuna mambo
Halafu ni kama bibie aliolewa na mwingine.
 
Lol" hapana hiyo ya kwangu mimi 'Jamaa ndiye alikuwa na mpango wa kando akambwaga bibie..Ghafla yale mahaba ya Jf yakawa zzzzzzzzz!!!!! (kimya) then jamaa aka change na Id... so sad- so kama kuna mtu mwingine ambaye wewe unamjua aliyepitia katika hali kama hiyo....basi ama kweli humu kuna mambo
Hii unayoiongelea bibie hajaolewa?
 
Naombeni samari pm please
 
Kuna mtu kila comment yako ana like...kila hoja yako anai-support.. Ukigombana na member mwingine wa jf anaku-defend

Unakuta hamjawai ata kuchati Pm, ila basi tu unahisi kuna kitu kati yenu

Mimi ni dhaifu sana msichana akionyesha kunijali
Nataka kuona udhaifu wako.
 
Nadhani kwa sasa itakuwa ameolewa....Maana baada ya yale mapicha picha "Alidai kwamba hata yeye ana mchumba wake ana kusudia kufunga nae ndoa.....Mimi nilikuwa nadhani kwamba anajimwambafai tu" kwaajili ya kujipooza na stress alizonazo katika ule wakati
Hii unayoiongelea bibie hajaolewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom