Iko tofauti sana na mitandao mingine ya kijamii, na kikingine ni kuwa naweza pata habari mbalimbali za muhimu bila kuhangaika na tv. majukwaa yametengenezwa kwa namna ambayo karibu kila mtu kuna sehemu atavutiwa. ni hivyo mkuu
Hodi humu ndani, nimekuwa natembelea jf kama guest kwa muda mfupi lakini nimeona ni kwa namna gani jf ni sehemu ambapo huwezi boreka kwa namna yoyote maana imekamilika.