Zipo sana.......ila sasa hivi zimeadvance kidogo.......tunafanya house parties......kwa trusted members only........baada ya mambomambo mengi........tukaona isiwe tabu.........
Hata mimi unanitenga?!
Naomba access tafaaadhali..
Nitakukabidhi kwanza kwenye kamati ya maadili.........ukifuzu......next party utapata mualiko.......
inayofata naamini hautaniacha kwenye mualiko...
Mi nakumbuka story ya kukutana kwenda kuwatembelea wagonjwa Osheni Rodi Hospito.Haha inawezekana mkuu, ila nakumbuka story za party zilinoga sana kipindi fulan
Hahha mimi tena, muulize Invisible...Unayo maadili........?....
Mkuu nina wasiwasi hizi party ni za kufikirika zaidi kuliko uhalisia.
Zikiadvance more.tutafanya through whatsup.mnaonajeZipo sana.......ila sasa hivi zimeadvance kidogo.......tunafanya house parties......kwa trusted members only........baada ya mambomambo mengi........tukaona isiwe tabu.........