Wewe siumelala sasa mbona unaonekana online?mhm na wasiwasi.......baada ya haftime watu wanarukia smartphone kama kawa...Umeona eerrhhh... :lol: :lol:
Watu hawasign out.
mkuu out look ulipata?basi pm email ntakutumia keshohatimae nimekuona. ubarikiwe sana na asante kwa kuja. mia
Wewe siumelala sasa mbona unaonekana online?mhm na wasiwasi.......baada ya haftime watu wanarukia smartphone kama kawa...
Cc; Madame B, Jesca, amu, Zion Daughter
Sasa siungesema mapema??pushup 8 lazima ulale!:becky:
Mimi nililala fofofo ndo kwanza naamkaWewe siumelala sasa mbona unaonekana online?mhm na wasiwasi.......baada ya haftime watu wanarukia smartphone kama kawa...
Cc; Madame B, Jesca, amu, Zion Daughter
Hii email inatakiwa kupost vitu vilivyotoka kwenye URL only lete mbadala!mkuuwewe nawe unakua hausomeki kama amu. amu naye simu yangu nilimpa nikabaki na line na kila kitu nlimpa nimpate kilaini lakini hasomeki.
nakupa email tena:
figganigga@jamiiforums.com. mia
Mimi nililala fofofo ndo kwanza naamka
Leo hujaamshwa??? usiniulize na nani...
Twende kwanza pm unieleze vizuri..
teh! teh!...mie namaanisha kuamshwa na "alarm"
Kwi kwi kwi....Nilidhani unatoa ile siri yangu niliyokuapiza uweke moyoni..
mmh zile siwezi kuzitoa lol...zipo salama nami atii!!!
Ntaziamsha nikifika mwanza....JF Mwanza oyeeeee....Mko wangapi mwanza...