Reyna
Senior Member
- May 19, 2013
- 122
- 28
Mimi ni msichana umri wangu miaka 22 niko Mwanza tatizo langu ni hili kila nikiamka asubuhi najikuta nimechanjwa na kitu kikali kama wembe. Tatizo hili lilianza baada ya kupanga nyumba maeneo flan hivi hapa mjini nilishi kama miezi miwili hivi ndio mambo yakaanza kila siku nikiamka najikuta nimechanjwa sehemu mbalimbali za mwili baada ya kuona mambo yamenishinda nikaamua kuhama na kuacha kodi yangu ya miezi nane niliishi miezi minne tuu baada ya kuhamia nyumba nyingime nimeishi kama mwezi mmoja hivi lile tatizo limeanza tena kiukweli nakosa amani sina raha kabisa sijui ni kitu gani hiki.