dah unguja, uswazi...lazima utakuwa jirani yangu wewe sema hatujuani... ni pm niwe nakupa kampani. unawajua kuku wa malikusema, anyway kwa tatizo lako fanya maombi sana, ili usichanganye maombi na ushirikina hiyo itakuwa shirki na ni zambi kubwa.
Hapo hapo ulipo shusha ndoo utapata maji ya uzima bure! Maana mito ya maji ya uzima inapita hapo. Usihame tena utaendelea kupoteza fedha zako kuziacha kwa wenye nyumba, jikabidhi kwa Yesu maisha yako ulinzi wa Mungu utakuzunguka. Kwa maelekezo zaidi ni PM.
... wee kamata Castle Milk zako mbili, tatu ... chapa usingizi amkia kwenye supu ya sato hapo Ng'osha Bar, kisha nenda kazini kwenye Taasisi unayoitumikia!! Usisahau kushusha chandarua, mbu wa Mwanza ni zaidi ya hao "wanaokuchanja" usiku!!
Hahahaaa poa