Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Duh!! mkuu unafanya kazi na Al-Queda nini!?aisee hako kaugonjwa kanamalizwa kwa kuwa KIPOFU,weka maji ya betri machoni sas hivi na hiyo shida itaisha daima
Am waiting for u mkuu.We una tatizo,halafu mpenzi wako anakosea namna anavyokuambia tatizo lako!Ngoja nifikirie namna ya kukushauri!
Ahaaa mkuu me nipo VODACOM hlf am just watching them then I left them. si unajua macho hayana pazia na fahari ya macho kuona kipendezeshacho.Inaonekana wewe upo kwenye mtandao wa TIGO ndiyo maana mke wako amekushitukia!!
Ahsante Dada kwa ushauri nitajaribu kuufata japo.....ushajua tataizo ni nini,je kwanini unaendelea kuwaangalia.Jifunze ku control mambo madogo kama hayo kama mwezio hataki uangalie sa we yanini kuangalia inye za watu?
Duh!! mkuu unafanya kazi na Al-Queda nini!?
Thanx, well noted.kiukwel hlo ni tatzo la kila mwanaume ila linaisha kama utamkubali mpenzi wako kuwa ni waukwel hayo mengne utayachukulia ya kawaida tuu. Mana tabia hyo inakuja kutokana hujalidhika na mpenzi wako na ndo mana unakuwa na tamaa ya kila unaemuona unamtaman. Sikatai vipo vya kutazama ila co kila kitu ukiona mpaka mnafikia hatua ya kugombana nae ujuwe waz kuwa umezidisha sawa kijana jipange kwanza
Yale yale masharti ya mganga ukitaka utajiri muue mzazi wako. niliitaj ushauri wako kama hauna unaweza kunyamaza na kama thread inakukera ipotezee.ANAUDHI,WEWE UMEOA MPENDE MKEO HATA KAMA NI MBAYA NDIO WAKO HUYO,UNALETA NJAA ZA KIDUWANZI HAPA WEKA TINDIKALI MACHONI USIONE MAKALIO TENAalaaaaa''