Ndani ya JF kuna uhuru mkubwa wa kutoa maoni na mawazo japo uhuru huo Una vipimo vya uvumilivu hasa pale inapoonekana maslahi yake na ya wanachama wake yanahatarishwa ama kutiwa dosarichama cha mapinduzi kimezidi kuwa kinara kwa kulinda utu na uhai wa raia wake tizama leo maokozi ya ndugu zetu walipatwa na mkomo katika vita vya iran walivyo okolewa kimedani na kurudi nyumbani wakiwa na nyuso za furaha
True10. Wanachama ni wa kipekee waliobeba usiri mkubwa.. Wanaweza kuwepo 10 sehemu moja lakini wasijuane kabisa!
Una sifa zote za kuwa Jamii ya siri
1. Haipendi uzushi.. Kama ukiwekwa utqondolewa ama utapelekwa kwenye uhakiki
2. Ukimya: Haijipigii debe Kama mitandao mingine
3. Usiri wa wanachama: Ukiacha verified members wachache wengine wote ni ghost members au ni dark members kutokana na utambulisho bandia
4. Upekee (unique and exclusive) muonekano wake na namna unavyofanya kazi ni wa kipekee sana
5.Taarifa zake zote huwafikia wanaopaswa kufikiwa tuu na Kama kuna zinazohitajika kwa jamii yote upo utaratibu maalum
6. Taarifa za wanachama zina ulinzi wa hali ya juu sana na hakuna udukuzi uliowahi kufanikiwa kuzidukua💪🏿
7. Wamiliki waanzilishi wanajulikana lakini ni ngumu sana kupata taarifa zao zaidi nje yake
8. Maudhui yake yamepangiliwa kwa makini na madaraja yake na hayaingiliani
9. JF ina madaraja mbalimbali ya wanachama na kila mwanachama ana nafasi ya kupanda daraja moja hadi lingine mpaka kufika la juu kabisa
10. Wanachama ni wa kipekee waliobeba usiri mkubwa.. Wanaweza kuwepo 10 sehemu moja lakini wasijuane kabisa!
Slogan yake ya *Home of great thinkers inazidi kuongeza na kunogesha uwepo uhimili na ukuzi wa jukwaa hili la kipekee sana
Hii ndio JF yenye viwango vya juu na vya aina yake.. Uwepo wake ni Kama moto ndani ya jivu.. Hauna miale, hauna moshi.. Lakini unaunguza na kuivisha mpaka mifupa
Hakuna penye public watu hujitokeza na kujionesha wao ni wana JF! Sijawahi kuona!True
Tungeshapimwa mkojo siku nyingi sana. Namkumbuka mwana JF mmoja marehemu akiitwa Phares Maro. Mungu ampe pumziko la amaniHakuna penye public watu hujitokeza na kujionesha wao ni wana JF! Sijawahi kuona!
Dhana kuwa JamiiForums (JF) inafanana na jumuia za siri mara nyingi inatokana na utamaduni wake wa kipekee wa utendaji na jinsi wanachama wanavyotumia jukwaa hilo. Ingawa JF si "jumuia ya siri" katika maana ya kimfumo (kama Freemasonry au Illuminati),
sifa zifuatazo hufanya ionekane hivyo machoni pa wengi:
Matumizi ya Majina ya Bandia (Pseudonyms): Tofauti na mitandao kama Facebook au Instagram, JF inaruhusu na kuhimiza watu kutumia majina ya bandia. Hii inawapa wanachama uhuru wa kutoa siri za serikali, makampuni, au maisha binafsi bila hofu ya kutambuliwa, jambo ambalo huleta msisimko wa "kisiri."
Kanuni za Kidijitali na "Code" za Mawasiliano: Kuna lugha na misemo ambayo inaeleweka zaidi na "Wana-JF" pekee. Utamaduni wa kukosoa, kuchambua mambo kwa undani, na kushambuliana kwa hoja (intellectual debate) hutengeneza hisia ya kundi la watu walio na uelewa wa kipekee.
Uvujishaji wa Taarifa (Whistleblowing):
JF imejijengea sifa ya kuwa sehemu ya kwanza ambapo habari nyeti (nyuma ya pazia) huanza kuvuja. Kwa sababu habari hizo mara nyingi huwa na ukweli usio rasmi, jukwaa huonekana kama kitovu cha mambo ya siri.
Mshikamano na Ulinzi wa Faragha:
Jukwaa lina mfumo imara wa kulinda faragha za wanachama wake na limekuwa likipambana kisheria kulinda data za watumiaji, jambo ambalo huongeza imani kuwa ni mahali salama kwa "siri."
The man himself and the whole JF winning team!💪🏿📌Shukrani za dhati ziende kwa Maxence Melo
Mbona mimi sina ID mbili?JF ni nyumbani Kwa "Mizimu" na hakuna mtu mwenye ID Moja ni mbili kwenda juu.
Tabia za Wana JF ni kama nyoka au panya kuuma na kupuliza.
Uraibu wa JamiiForums (JF) ni hali ya mwanachama au mtumiaji kushindwa kuacha kutembelea jukwaa hilo, mara nyingi akitumia muda mwingi kusoma, kuchangia mada, au kufuatilia mijadala ya kijamii na kisiasa.Na pia JF ni alcohol...inalevya na ina Uraibu
Sure!Uraibu wa JamiiForums (JF) ni hali ya mwanachama au mtumiaji kushindwa kuacha kutembelea jukwaa hilo, mara nyingi akitumia muda mwingi kusoma, kuchangia mada, au kufuatilia mijadala ya kijamii na kisiasa.
Kwenye majukwaa ya kijamii kama JamiiForums, uraibu hujitokeza kupitia:
Matumizi ya Muda Mwingi: Kukaa kwenye mtandao kwa saa nyingi hata wakati wa kazi au mapumziko.
Mijadala Isiyoisha: Haja ya kujibu kila hoja au kufuatilia "updates" za mada mbalimbali za siasa, mahusiano, au michezo. ....
Shukrani za dhati ziende kwa Maxence Melo