JF ni replica ya secret society

JF ni replica ya secret society

Hakika ,ni hapa hapa nikilewa nitawatukana maboss wangu wote na nitatoa siri za taasisi yangu alafu bado nitarudi nyumbani na nitaenda kazini nadunda maana najua hakuna anayejua nilivyowachamba huku .

Be blessed Max ,kwa hichi kichwa nadhubutu kusema ujombani walitoa mtu .
 
Hakika ,ni hapa hapa nikilewa nitawatukana maboss wangu wote na nitatoa siri za taasisi yangu alafu bado nitarudi nyumbani na nitaenda kazini nadunda maana najua hakuna anayejua nilivyowachamba huku .

Be blessed Max ,kwa hichi kichwa nadhubutu kusema ujombani walitoa mtu .
Be blessed Max ,kwa hichi kichwa nadhubutu kusema ujombani walitoa mtu
😀😀zile nanihii hazikuwa wasted..🙌🏿🏃🏿🤣
 
Be blessed Max ,kwa hichi kichwa nadhubutu kusema ujombani walitoa mtu
😀😀zile nanihii hazikuwa wasted..🙌🏿🏃🏿🤣
Hakika ,kibarikiwe kiuno na tumbo vilivyo shirikiana tukampata mtu wa namna hii ila sio yule burhani sijui nani nani ,kale katoto kajinga sana .

Kaka niko kwenye mfungo wacha nivunge kwanza
 
Najivunia sana kuwa mwana member wa jamii hii adhimu tangu nilipojiunga 2008. Hakika hapa ni mahali salama sana.
Hongera nyingi kwenu JF Founders chini ya Jemedari Mkuu Maxence Melo, Mungu aendelee kuwaongoza na kuwasimamia vyema.
 
Una sifa zote za kuwa Jamii ya siri

1. Haipendi uzushi.. Kama ukiwekwa utqondolewa ama utapelekwa kwenye uhakiki

2. Ukimya: Haijipigii debe Kama mitandao mingine

3. Usiri wa wanachama: Ukiacha verified members wachache wengine wote ni ghost members au ni dark members kutokana na utambulisho bandia

4. Upekee (unique and exclusive) muonekano wake na namna unavyofanya kazi ni wa kipekee sana

5.Taarifa zake zote huwafikia wanaopaswa kufikiwa tuu na Kama kuna zinazohitajika kwa jamii yote upo utaratibu maalum

6. Taarifa za wanachama zina ulinzi wa hali ya juu sana na hakuna udukuzi uliowahi kufanikiwa kuzidukua💪🏿

7. Wamiliki waanzilishi wanajulikana lakini ni ngumu sana kupata taarifa zao zaidi nje yake

8. Maudhui yake yamepangiliwa kwa makini na madaraja yake na hayaingiliani

9. JF ina madaraja mbalimbali ya wanachama na kila mwanachama ana nafasi ya kupanda daraja moja hadi lingine mpaka kufika la juu kabisa

10. Wanachama ni wa kipekee waliobeba usiri mkubwa.. Wanaweza kuwepo 10 sehemu moja lakini wasijuane kabisa!

Slogan yake ya *Home of great thinkers inazidi kuongeza na kunogesha uwepo uhimili na ukuzi wa jukwaa hili la kipekee sana

Hii ndio JF yenye viwango vya juu na vya aina yake.. Uwepo wake ni Kama moto ndani ya jivu.. Hauna miale, hauna moshi.. Lakini unaunguza na kuivisha mpaka mifupa
JF isiyo na Jukwaa la wakubwa ni sawa na ng'ombe dume aliyeasiwa.
 
Back
Top Bottom