Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,882
- 828,451
Una sifa zote za kuwa Jamii ya siri
1. Haipendi uzushi.. Kama ukiwekwa utqondolewa ama utapelekwa kwenye uhakiki
2. Ukimya: Haijipigii debe Kama mitandao mingine
3. Usiri wa wanachama: Ukiacha verified members wachache wengine wote ni ghost members au ni dark members kutokana na utambulisho bandia
4. Upekee (unique and exclusive) muonekano wake na namna unavyofanya kazi ni wa kipekee sana
5.Taarifa zake zote huwafikia wanaopaswa kufikiwa tuu na Kama kuna zinazohitajika kwa jamii yote upo utaratibu maalum
6. Taarifa za wanachama zina ulinzi wa hali ya juu sana na hakuna udukuzi uliowahi kufanikiwa kuzidukua💪🏿
7. Wamiliki waanzilishi wanajulikana lakini ni ngumu sana kupata taarifa zao zaidi nje yake
8. Maudhui yake yamepangiliwa kwa makini na madaraja yake na hayaingiliani
9. JF ina madaraja mbalimbali ya wanachama na kila mwanachama ana nafasi ya kupanda daraja moja hadi lingine mpaka kufika la juu kabisa
10. Wanachama ni wa kipekee waliobeba usiri mkubwa.. Wanaweza kuwepo 10 sehemu moja lakini wasijuane kabisa!
Slogan yake ya *Home of great thinkers inazidi kuongeza na kunogesha uwepo uhimili na ukuzi wa jukwaa hili la kipekee sana
Hii ndio JF yenye viwango vya juu na vya aina yake.. Uwepo wake ni Kama moto ndani ya jivu.. Hauna miale, hauna moshi.. Lakini unaunguza na kuivisha mpaka mifupa