mmmmmmmmmhhh
Shem hivi ujue unapotea sana hebu niambie unatunyima nini atii?
shem nawanyima shida na matatizo sababu nawapenda. mzima wewe?
Nakutafuta mwana mpotevu sikuoni kitaa ujue
shem nawanyima shida na matatizo sababu nawapenda. mzima wewe?
mie mzima sana tu...dada yako naye kapotea kama wewe!!!
akiendelea kupotea nitamsaidia majukumu shem. usijali. sawa eeh?
hukua na kipaji cha kuchora eeeh?..ungemchora zombieenlifanya mtihani wa fom foo mwaka jana....majibu yameshatoka.............
akiendelea kupotea nitamsaidia majukumu shem. usijali. sawa eeh?