jf new version msaada tafadhali

jf new version msaada tafadhali

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
wanajf ktk version mpya ya jf nashindwa kabisa kureply au kupost new post.nimekuwa wa kusoma tuuuuuu.!!!!nipeni maujanja jamani
 
Mimi wakati mwengine vile vile hunisumbua lakini dawa yake ni ku-uninstall kisha una-install tena mambo yanakaa sawa.
 
Mimi wakati mwengine vile vile hunisumbua lakini dawa yake ni ku-uninstall kisha una-install tena mambo yanakaa sawa.

kweli mkuu ngoja niuninstall then niinstal upya tuone kama itakubali
 
nimeipakua upya imekubali ngoja nile good day na jf.nawashukuru sana
 
Back
Top Bottom