Changamoto nyingine ninayo iona kulingana hoja yako hii ni wale wanachama wa zamani kufungua I'd mpya na kujitoa ufahamu, sambamba na wapya ambao utashi wao ni mdogo kulingana na aina ya wanachama wa mtandao huu.
Nakubaliana na wewe kabisa. Inasikitisha sana kwamba, Tabia za kiwendawazimu na kitoto zinazidi kuongezeka humu. Nilikimbia Facebook nikaja JF nikijua huku kutakuwa nafuu