Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Jan 30, 2012 Thread starter #21 Mchuzi wa bata said: Kubeba mabox ulaya ni sifa JF? Click to expand... Ni wewe wasema
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Jan 30, 2012 Thread starter #22 Kitope said: Mboni sisi wabeba kuni mashambani mnatusahau wajameni!? Click to expand... Hamjasahauliwa LOL, tumeanza na wabeba box
Kitope said: Mboni sisi wabeba kuni mashambani mnatusahau wajameni!? Click to expand... Hamjasahauliwa LOL, tumeanza na wabeba box
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Jan 30, 2012 Thread starter #23 Mohammed Shossi said: Napenda wabeba box wanavyoleta post zao wanauchungu sana kuliko tuliopo nyumbani ila wananikera waoga sana hawapendi wajulikane Click to expand... Yeah, wapo wengi humu, ila waoga kusema, wanaogopa kushambuliwa na wasio wabeba box. Ila waweza kuwang'amua kwa posti zao za usiku wa manane saa za bongo LOL
Mohammed Shossi said: Napenda wabeba box wanavyoleta post zao wanauchungu sana kuliko tuliopo nyumbani ila wananikera waoga sana hawapendi wajulikane Click to expand... Yeah, wapo wengi humu, ila waoga kusema, wanaogopa kushambuliwa na wasio wabeba box. Ila waweza kuwang'amua kwa posti zao za usiku wa manane saa za bongo LOL
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Jan 30, 2012 #24 Futota said: Zawadi atawapa nani, wakati wote akina sisi njaa tupu Ni katika kupambanua tu ndugu, yupi mbeba box, yupi mkulima......nk Click to expand... Sasa tukisha'pambanua' nani mbeba box na nani mla vumbi then what next?
Futota said: Zawadi atawapa nani, wakati wote akina sisi njaa tupu Ni katika kupambanua tu ndugu, yupi mbeba box, yupi mkulima......nk Click to expand... Sasa tukisha'pambanua' nani mbeba box na nani mla vumbi then what next?
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Jan 31, 2012 Thread starter #25 Lizzy said: Sasa tukisha'pambanua' nani mbeba box na nani mla vumbi then what next? Click to expand... Usisahau hii ni chit-chat, hakuna cha what next. Changia kama unaye Tukimaliza list hii tutaendelea na list ya "wala vumbi" wa Unga limited LOL
Lizzy said: Sasa tukisha'pambanua' nani mbeba box na nani mla vumbi then what next? Click to expand... Usisahau hii ni chit-chat, hakuna cha what next. Changia kama unaye Tukimaliza list hii tutaendelea na list ya "wala vumbi" wa Unga limited LOL
SOBY JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 1,268 Reaction score 459 Jan 31, 2012 #26 Mimi nabeba mabox..... inalipa!. Bila ufisadi.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Jan 31, 2012 #27 Futota said: Usisahau hii ni chit-chat, hakuna cha what next. Changia kama unaye Tukimaliza list hii tutaendelea na list ya "wala vumbi" wa Unga limited LOL Click to expand... Haya weeee. . Mi ntakua 'mla vumbi' nambari wani!!
Futota said: Usisahau hii ni chit-chat, hakuna cha what next. Changia kama unaye Tukimaliza list hii tutaendelea na list ya "wala vumbi" wa Unga limited LOL Click to expand... Haya weeee. . Mi ntakua 'mla vumbi' nambari wani!!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,726 Jan 31, 2012 #28 matola said: sifa za kijinga!! Click to expand... anataka tujue waliopo huko! Ili sijui iweje? Ngoja nikamue gambe langu mie! Wakati haitusaidii kalipia hata pakej za int lol inahuu????
matola said: sifa za kijinga!! Click to expand... anataka tujue waliopo huko! Ili sijui iweje? Ngoja nikamue gambe langu mie! Wakati haitusaidii kalipia hata pakej za int lol inahuu????
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,168 Reaction score 10,231 Jan 31, 2012 #29 Kitope said: Mboni sisi wabeba kuni mashambani mnatusahau wajameni!? Click to expand... wabeba kuni cv zetu haziuziki.
Kitope said: Mboni sisi wabeba kuni mashambani mnatusahau wajameni!? Click to expand... wabeba kuni cv zetu haziuziki.
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Feb 1, 2012 Thread starter #30 Husninyo said: wabeba kuni cv zetu haziuziki. Click to expand... Hear hear!
Mr.mzumbe JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 1,063 Reaction score 1,065 Feb 2, 2012 #31 Futota said: Inaonekana wapo wengi hapa, hebu tujitaje / tuwataje :biggrin: Mi naanza na "Gaijin", mkuu vipi box la Japan linalipa?:A S wink: (username imekutoa mkuu) Click to expand... Wanatuzingua hao..!!hawako mbele wala nn,box zao wanabebea manzese hao.
Futota said: Inaonekana wapo wengi hapa, hebu tujitaje / tuwataje :biggrin: Mi naanza na "Gaijin", mkuu vipi box la Japan linalipa?:A S wink: (username imekutoa mkuu) Click to expand... Wanatuzingua hao..!!hawako mbele wala nn,box zao wanabebea manzese hao.