Jf na VPN

Jf na VPN

Tundazuri

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
2,376
Reaction score
3,008
Jamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha.

Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki kukosolewa mbapokesea? Watu hawataki kupiga kura kwanza maana hawawataki so mkae kwa kutulia, VPN tutawasha na tutawakonektiana kwa raha zetu.

Mbogamboga wana taabu jamani
 
Sasa kama hujui mabalozi wote wametakiwa kuamka asubuhi na watu wao wakapige kura. Usipopiga kura itabidi balozi ajue kwa nini huendi kupiga kura
 
Usiseme nimetunga habari, imetangazwa mpaka DW jioni akinukuliwa mgombea wa urais wa ccm kwamba balozi atoke na watu wake na aende nao kituoni kupiga kura. Ina maana hapa asiyepiga kura atajulikana kwa balozi. Hebu fikiria kama balozi mtaa wake mzima wamejitokeza wachache kupiga kura, hao wengine wasiopiga kura wataelewekaje mtaani?
 
Kupiga kura ni hiari, ila uchaguzi huu kama mabalozi watafuatilia kila nyumba wakapige kura hii itakuwa ni kama lazima, whether you like or you don't like utaenda tu kupiga kura otherwise huna kadi ya mpiga kura
 
Sasa kama hujui mabalozi wote wametakiwa kuamka asubuhi na watu wao wakapige kura. Usipopiga kura itabidi balozi ajue kwa nini huendi kupiga kura
Mmeanza visingizio. Ujinga wenu mmeona hautaungwa mkono mmeanza visingizio.
 
Karibu sana ujambazini mkuu, tuliopo humu muda huu wote ni majambazi tumepingana na amri ya siri-kuu, usiwe na shaka tunapeta tu humu, hata wao usishange wapo humu, wamejitia kuifungia halafu wanashindwa kujikaza kisoap siku 90 zipite, wanajitekenza na kucheka wenyewe watu wa hovyo sana hawa.
 
Jamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha.

Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki kukosolewa mbapokesea? Watu hawataki kupiga kura kwanza maana hawawataki so mkae kwa kutulia, VPN tutawasha na tutawakonektiana kwa raha zetu.

Mbogamboga wana taabu jamani
Mboga Mboga wajinga tu
 
Usiseme nimetunga habari, imetangazwa mpaka DW jioni akinukuliwa mgombea wa urais wa ccm kwamba balozi atoke na watu wake na aende nao kituoni kupiga kura. Ina maana hapa asiyepiga kura atajulikana kwa balozi. Hebu fikiria kama balozi mtaa wake mzima wamejitokeza wachache kupiga kura, hao wengine wasiopiga kura wataelewekaje mtaani?
Aje huyo balozi wao nyumbani kwangu siku hiyo halafu aone nitakavyo mfyeka miguu kwa panga. Sitaki upumbavu mimi.
 
Back
Top Bottom