JF na nicknames.......

JF na nicknames.......

uko wapi kongosho? Mi niko bamboo bar kinondoni ndo nimeangalia arsenal kaua mtu goli saba,njoo basi,under new management.

Ukitoka hapo... Au utasogea Copa Cabbana,kisha Scorpion,halafu Pazi,kisha unamalizia na pale wapi vileee....kwenye kona ya kwenda Scorpion...
Pana kaghorofa na panakesha...
 
njoo basi huku
niko sisimizi bar
hapa ubungo

baa ya pale bondeni... Sijakaa muda mrefu sana hapo..
Na hilo traffic la hapo juu muda huu Kongosho,sijui utapita vipi hadi uitafute Mwenge...then Mbezi...then...
 
Back
Top Bottom