jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Lizzy= Betina (wa gazeti la Sani)!
Hilo jingine ulilompa ni refu sana.
Bishanga=Banana (wine?? Lol)
Hilo jingine ulilompa ni refu sana.
Bishanga=Banana (wine?? Lol)
Hahahahahahaha. . .Lizzy,AD kumbe ndo alimgandisha figanigga zanzibar,du,mtoto huyu!
Wivu tu. . . lolzLizzy= Betina (wa gazeti la Sani)!
Hilo jingine ulilompa ni refu sana.
Bishanga=Banana (wine?? Lol)
kongosho - roho ya korosho
just called figa,anasema ektcwale aliyemgandisha zenj ni weye na wala sio AD.
unaowapenda wakoje?
TFinest mmeachana?
:lol::lol:Inakuhuuu???
Wivu tu. . . lolz
We ni Dr Love Pimbi. Hahaha
jouneGwalu - jg...jigger
Kwani mababu ndo hawajui kupenda au hawataki kupendwa?? mi hizo ndevu zinaniacha hoi.... 🙂
relax, take a deeeeeep breath, you will be alright, trust me 😛oa
hahahahahaha Kongosho bana unamfanya Bishanga aone haya sasa..
mmmhhhhhhhh :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Doto nilikwambia nini kuhusu kusema kila kitu hadharani?
Really??????????????
kiko upande wa kulia juu ya page yako, kina rangi nyekundu..
kwa ajili ya Valentine ... ila kuna kingine chini upande wa kulia
kina rangi ya blue. hicho ukibonyeza tu MODs wote watafanya harambee hapa 😛oa
hahahahahahah looohh we sikuwezi...
dah hii imeniuma kweli, yaani mimi Pimbi??
Uwiiii....
Nakusemea kwa Kurwa haki ya nani.